BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Moja kwa moja Ukraine na Urusi: Mamia ya wanajeshi wa Ukraine waliozingirwa Mauripol waliokolewa
Ukraine imethibitisha kwamba mamia ya wapiganaji wake waliokuwa wamekwama kwa zaidi ya miezi miwili katika mji wa shughuli za viwanxda vya chuma wa Azocstal katika Mauripol wameokolewa.
Chadema yahoji uhalali wa wabunge 19 kusalia bungeni
Chama cha upinzani nchini Tanzania, kimehoji uhalali wa waliokuwa wanachama 19 wanawake wa chadema kusalia bungeni baada ya kuvuliwa uanachama.
'Picha yangu ilitumiwa kueneza uongo kuhusu vita vya Ukraine'
Picha ya mwanamke mjamzito akikimbia hospitali ya uzazi iliyoshambuliwa kwa bomu ilikuwa mojawapo ya picha iliyolengwa na kampeni ya upotoshaji ya Urusi.
Wakenya wamkumbuka Stella aliyeolewa na Mjapani
Wakenya katika mitandao ya kijamii leo wamechangamkia sana wimbo wa Stella Wangu wa mwanamziki mashuhuri wa humu nchini Freshley Mwamburi.
Video, Mfuga mende: Jamii ilifikiri nilikuwa na kichaa, Muda 2,27
Fundi seremala kutoka Tanzania, aliyeanzisha biashara ya ufugaji mende
Makosa 8 unayofanya yaliyo hatari kwa afya unapokuwa jikoni
Kila mwaka, takriban watu milioni 600 huugua magonjwa yanayosababishwa na chakula. Takriban 420,000 kati yao hupoteza maisha.
Urusi na Ukraine: Fahamu mkakati mpya wa jeshi la Urusi unaozaa matunda Ukraine
Baada ya awamu ya kwanza ambapo vikosi vya Urusi vilishambulia miji ya Ukraine kwa umoja , juhudi zilizofanywa na rais Vladmir Putin zilielekezwa hususan eneo la jimbo la mashariki la Donbas , ambapo analenga kuteka eneo kubwa zaidi kwa madai ya kutaka kuwalinda raia wanaounga mkono Urusi.
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 17.05.2022
Chelsea wanaweza kuungana na Barcelona katika mbio za kumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich na Poland Robert Lewandowski, 33. (Guardian).
Uchaguzi Kenya 2022: Yote unayopaswa kujua
Uchaguzi Kenya 2022:Yote unayopaswa kujua
Yote unayopaswa kujua kuhusu uchaguzi wa Kenya Agosti 9 2022
Haya ni matukio ya kukumbukwa ya FA CUP 'yaliyowaduwaza' wapenda soka duniani
Chelsea na Liverpool leo zinacheza fainali ya 141 ya Kombe la FA katika uwanja wa Wemble
Mtu wa kwanza duniani kuchambua soka kwa teknolojia ya kompyuta
Richard Pollard alikuwa wa kwanza kutumia kompyuta kuchambua data za soka. Kazi yake wakati huo ilikuwa muhimu katika kuunda soka ya kisasa tunayotazama sasa
Historia inavyoibeba Real Madrid dhidi ya Liverpool fainali Ulaya
Liverpool na Real Madrid zinakutana Mei 28 katika fainali ya kihistoria ya ligi ya mabingwa Ulaya itakauopigwa kwenye dimba la Stade de France huko Ufaransa.
Kwanini Karim Benzema anastahili tuzo ya Ballon d'Or mwaka huu?
Akiwa na Real Madrid Benzema amepachika mabao 41 katika michezo 41 msimu huu na kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha idadi hiyo ya mabao katika msimu mmoja, baada ya Cristiano Ronaldo, Ferenc Puskas, Alfredo Di Stefano na Hugo Sanchez.
Kwa nini mashabiki wa Man City hawamthamini Raheem Sterling?
Mchambuzi wa soka wa BBC, Micah Richards anadhani mashabiki wa Manchester City wanapaswa kutazama zaidi kile anachokileta Raheem Sterling kwenye timu yao, kuliko kuangalia nafasi za wazi za kufunga anazopoteza.
Tyson Fury ahifadhi taji la WBC na kuapa kustaafu
Bingwa wa ndondi wa uzani wa juu na mshikilizi wa ukanda wa WBC Tyson Fury amethibitisha angali moto wa kuotewa mbali baada ya kumdondosha sakafuni Muingereza mwenzake Dillian Whyte katika raundi ya sita ya pigano lililoshuhudiwa na mashabiki 94,000 katika ukumbi wa Wembley.
Erik ten Hag: Man Utd wanaweza kutarajia nini kutoka kwa meneja wao mpya?
Erik ten Hag hakuwahi kuwa mmoja wa watu ambao waliweka wazi kuwa alikuwa na matamanio makubwa ya kuwa mmoja wa makocha wakuu duniani. Ni mtu mnyenyekevu sana
Kwa nini Kombe la Dunia la Qatar lina utata sana?
Qatar imetumia maelfu ya wafanyakazi wa kigeni kujenga miundoya Kombe la Dunia. Huenda wengi wamekufa.
Afrika yapata wawakilishi wake, fahamu mataifa mengine yaliyofuzu
Timu za Cameroon, Ghana, Morocco, Senegal na Tunisia zimefuzu kutoka ukanda wa Afrika kucheza fainali za kombe la dunia ziakazopigwa baadae mwaka huu huko Qatar, kufuatia matokeo yao ya michezo ya jana.
Video, 'Niliuona mwili wa mwanangu kwenye Facebook', Muda 4,08
Joseph aliona picha ya maiti ya mwanawe Facebook ikionyesha dalili za kuteswa.
Video, Fahamu umuhimu wa Yoga wakati wa Ramadhani, Muda 2,48
Mkufunzi wa yoga Zanzibar - anaamini kufanya mazoezi ya yoga mwezi huu sio tu kutasaidia kuufanya mwili kuwa na shughuli nyingi za kimwili bali pia kuboresha umakini wa kutafakari.
Video, Fahamu jinsi 'Paka wanavyofungwa uzazi' Zanzibar, Muda 3,20
Visiwani Zanzibar, suala la kukutana na paka kila kona ni jambo la kawaida tu lakini sasa kuna kliniki ya paka ambayo imeanzisha kampeni ya maalumu ya kupunguza idadi yao.
Video, Ngono kwa ajili ya maji: Madhila wanayopitia wasichana wanaotafuta maji Kenya, Muda 3,11
Ngono kwa ajili ya maji: Wanawake na wasichana wanalipia huduma hii kwa gharama gani?
Video, Kwanini Tanzania inahimizwa kuwekeza katika kilimo cha alizeti, Muda 1,09
Mkoa wa Dodoma unategemewa zaidi katika uzalishaji wa mafuta ya alizeti.
Video, ‘Maharage haya hurudisha maelewano katika ndoa kwa kuongeza nguvu za kiume’ - Mtafiti, Muda 4,41
Kwa muda mrefu sasa wanawake na wanaume wamekuwa wakilalamikia suala la ukosefu wa nguvu za kiume kitu ambacho kimefanya watafiti kutoka Tari Seriani Arusha kuja na wazo la kuyaongezea maharage viini lishe.
Sikiliza, Ifahamu misingi ya Muungano pekee ulio hai barani Afrika, Muda 9,26
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Misingi ya Muungano pekee ulio hai barani Afrika
Video, ‘Hata asiyekuwa Muislamu akitaka Quran imuongoze, inamuongoza’ - Sheikh Kipoozeo, Muda 8,53
Waumini wa dini ya Kiislamu na dini nyingine wamekuwa na maswali kadha wa kadha kuhusiana na mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao ni mahsusi kwa waumini wa dini ya kiislamu kuomba toba
Video, Safari ya uongozi wa aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki, Muda 1,43
Aliyekuwa rais wa Kenya Mwai Kibaki amefariki akiwa na umri wa miaka 90. Rais Uhuru Kenyata ametangaza kupitia runinga mbalimbali nchini Kenya.
Taarifa kuhusu Coronavirus
Janga la Corona miaka miwili: Mambo matano tuliyojifunza
Mnamo Machi 11, 2020, Shirika la Afya Duniani lilitangaza rasmi mlipuko wa Covid-19. Hivi ndivyo mambo yalivyobadilika
Omicron na Delta zasababisha tsunami ya kesi za covid-WHO
Walakini, Dk Tedros aliwaambia waandishi wa habari kampeni kubwa nchi tajiri kutoa chanjo za ziada "zina uwezekano wa kuongeza muda wa janga hili", kwani wanaelekeza vifaa kutoka kwa nchi masikini, ambazo hazina chanjo,
Kwa nini Afrika imeshindwa kufikia lengo la chanjo ya kimataifa
Lengo la kufikia 40% ya viwango vya chanjo kamilifu katika kila nchi hadi kufikia mwisho wa mwezi Disemba halijafanikiwa barani Afrika.
Nitajitunza vipi baada ya kupata Covid?
Ni lini inafaa kuondoka kwenye kiti au kitanda ?
Dalili za Omicron: Je mafua ni dalili ya virusi vya corona?
Je mafua yanaweza kuwa dalili ya Omicron?
Maswali yako matano kuhusu kirusi hatari cha corona yajibiwa
Mara tu omicron kilipotajwa kuwa aina ya kirusi kipya tarehe 26 Novemba, mjadala kuhusu kiruisi hiki ulichacha kwenye mitandao.
Je unaweza kuugua baada ya kupata chanjo ya Corona?
Zaidi ya mtu mmoja kati ya watu 10 anaweza kuhisi adhari baada ya kuchanjwa, ikiwa ni pamoja na maumivu ya kichwa, uchovu na kuvimba sehemu ulipochomwa sindano ya chanjo.
Ramani mubashara hali ya coronavirus duniani
Tayari virusi hivyo vimesambaa katika mabara yote duniani isipokuwa Antarctica
Tuyajenge
Sikiliza, Udhalilishaji wa kingono nini?, Muda 28,58
Makala haya yanaangazia suala la unyanyasaji wa Kingono nchini Tanzania na kuonesha namna vitendo hivyo vinavyoweza kuleta athari kwa jamii kama visipoepukwa.
Global Newsbeat
Sikiliza, Ed Sheeran aonya wasanii kulimbikiziwa madai yasio na msingi ya hakimiliki, Muda 2,00
Ed Sheeran ameonya kuwa wasanii wa pop hawapaswi kukubali kutumiwa kuwa "walengwa rahisi" kwa madai ya haki miliki.
Waislamu wakisheherekea Eid ul-Fitr
Katika sehemu kubwa ya bara la Afrika, sherehe za Eid al-Fitr zinaendelea huku mwezi mtukufu wa Kiislamu wa Ramadhani ukielekea ukingoni.
Dira TV
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 17 Mei 2022, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 17 Mei 2022, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 17 Mei 2022, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 16 Mei 2022, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Gumzo mitandaoni
Urusi na Ukraine: Je Urusi inatumia silaha za kemikali dhidi ya Ukraine?
Moscow ina historia ya kuwashutumu maadui zake kwa madai ya uwongo kwa mashambulizi ambayo yanaweza kufafanuliwa kama uhalifu wa kivita.
Hassan Sheikh: Rais mpya wa Somalia ni nani?
Hassan Sheikh Mohamud amemaliza muhula mmoja wa kuwa Rais wa Somalia, na kwa sasa anarejea katika ofisi ya rais Villa Somalia ambako alihudumu kuanzia 2012 hadi 2017. Atakuwa rais wa kwanza kuchaguliwa tena mwishoni mwa muhula wake.
Somalia yampata rais mpya - aliyechaguliwa na watu 327
Aliyekuwa kiongozi wa taifa hilo Hassan Sheikh Mohamjud alimshinda rais aliyepo madarakani katika kura ilioshirikisha wabunge pekee.
Sura zilizotumika kumtangaza Vladimir Putin mitandaoni
Baadhi ya akaunti ghushi zimekuwa sehemu ya mtandao unaomtangaza rais wa Urusi Vladimir Putin kwenye Twitter.
Kwa nini Ukraine haijathibitisha au kukanusha mashambulizi ya wazi dhidi ya Urusi?
Karibu saa 11:50 subuhi ya April 1, kituo cha mafuta kilishika moto katika mji wa Belgorod nchini Urusi, uliopo kilomita 50 kutoka mpaka wa Ukraine.
Somalia nchi ambayo watu 329 pekee wanamchagua rais
Mwishoni mwa Jumapili, Wasomali wanapaswa kujua rais wao ajaye ni nani, lakini kura hii iliyocheleweshwa kwa muda mrefu inahusisha tu wabunge 329 wa nchi hiyo na inafanyika katika eneo lenye ngome nyingi.
Rigathi Gachagua: Mgombea mwenza wa William Ruto ni nani?
Naibu wa rais nchini Kenya na mgombea wa urais kupitia muungano wa Kenya Kwanza William Samoei Ruto amemtangaza mbunge wa Mathira Rigathi Gachagua kuwa mgombea wake mwenza katika uchaguzi wa 2022.
Kwa nini wazazi hawa wanamshtaki mtoto wao kwa kutowazalia mjukuu?
Sanjeev na Sadhana Prasad, 61 na 57, wanasema walitumia akiba yao kumlea mtoto wao wa kiume, kulipia mafunzo ya urubani wake, harusi ya kifahari na fungate.
Matumizi ya Lugha
Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.
Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57
Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.